Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew. LIGI ...
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew.
MOROCCO imetangazwa kuwa bingwa wa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 baada ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (Caf) kubatilisha matokeo ya kipigo chao kwenye fainali dhidi ya ...
Klabu ya Simba imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara ambapo timu hiyo sasa imesogea hadi nafasi ya pili katika msimamo wa ligi ikifikisha pointi 31 ikiishusha Azam FC ...
PRIME Prisons v Yanga ngoma ipo hapa! ZILE vurugu zote za wapi mechi ya Ligi Kuu Bara kati ya Tanzania Prisons na Yanga itachezwa, zimezimwa na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) iliyopangwa ipigwe ...
Yanga imefikisha pointi 10 baada ya kushinda mechi zake tatu na kutoa sare moja, ikiwarudisha Simba hadia nafasi ya pili ikiwa na pointi tisa, sawa na Pamba Jiji iliyo nafasi ya tatu.
KLABU ya Arsenal imeripotiwa kuridhishwa na kiwango cha beki wa kimataifa wa Ecuador, Piero Hincapié, tangu ajiunge na timu hiyo kwa mkopo akitokea Bayer Leverkusen, na sasa imepanga kumsajili ...
Rais CAF atoa msimamo sakata la AFCON 2025, aunga mkono Senegal kukata rufaa RAIS wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Patrice Motsepe, ametoa msimamo wake kuhusu uamuzi wa Bodi ya Rufaa ya CAF ...
Tanzania ambayo ilikuwa nafasi ya sita, sasa ipo nafasi ya tano huku Tunisia iliyokuwa nafasi ya tano ikishuka hadi ya sita. Kipa wa Yanga, Djigui Diarra amepewa adhabu ya kufungiwa mechi tatu na ...
Tanzania ambayo ilikuwa nafasi ya sita, sasa ipo nafasi ya tano huku Tunisia iliyokuwa nafasi ya tano ikishuka hadi ya sita. Kipa wa Yanga, Djigui Diarra amepewa adhabu ya kufungiwa mechi tatu na ...
BEKI wa kati wa TRA United, Chamou Karaboue, ameendeleza rekodi bora katika Ligi Kuu Bara msimu huu, baada ya nyota huyo kufikisha mabao mawili, ambayo yote ameyafunga dhidi ya ‘Wauaji wa... WAKATI ...
MJUMBE wa Bodi ya Shirikisho la Soka la Nigeria (NFF) amethibitisha kuwa, masharti yaliyowasilishwa na kocha mkuu wa timu ya taifa hilo, Eric Chelle, yatafanyiwa tathmini na Kamati ya Ufundi ya ...